Thursday, 29 October 2015

ZIFAHAMU FAIDA ZA KUPATA USINGIZI WA KUTOSHA

Usingizi wa kutosha ni muhimu sana kwa afya zetu na husaidia sana  kuboresha afya ya akili, moyo na uzito.

Hapa ninazo baadhi ya faida kuu zinazotokana kutokana na kupata usingizi wa kutosha.
1. Huboresha na kuimarisha kumbukumbu.

2. Hupunguza maumivu ya kichwa na uchovu.

3. Huongeza ubunifu na kufanya vizuri katika mambo mapya

4. Huongeza umakini na usikivu. 

5. Hupunguza mawazo na msongo wa mawazo.

6. Hupunguza ajali na kusaidia kuwa na maamuzi ya haraka na yenye manufaa hasa ukiwa unaendesha vyombo vya moto

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment