Thursday, 29 October 2015

ZITAMBUE HIZI DALILI ZA TATIZO LA FANGASI MAPEMA

Matatizo ya fangasi sehemu ya siri ni moja ya matatizo ambayo huwakumba watu wengi hususani wanawake zaidi, lakini shida ni kwamba wengi hushindwa kuzing'amua dalili za tatizo hili kwa haraka.

Zipo hapa dalili na viashiria vya fangasi kwa wanawake kama ifuatavyo:
1. Kuwashwa sehemu za uke
2. Kuhisi kuwaka moto sehemu za siri
3. Vidonda vidogo vidogo sehemu za siri
4. Maumivu wakati wa kujamiana
5. Maumivu au kuhisi kuwaka moto wakati wa kujisaidia haja ndogo.
6. Kuvimba na kuwa rangi nyekundu kwa mashavu ya nje ya uke
7. Kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu, unaoweza kuwa mwepesi, majimaji au mzito na wenye harufu mbaya.
Ikiwa utaona dalili hizo ni vyema ukawahi hosipitali mapema uonane na wataalam au wasiliana nasi kwa msaada zaidi tupigie kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com 

No comments:

Post a Comment