Thursday, 19 November 2015

HIZI NDIO SABABU ZA MWANAUME KUSHINDWA KUMPATIA MWANAMKE MIMBA

Tatizo la uzazi moja ya matatizo ambayo tunaweza kusema kuwa yamekuwa yakileta changamoto katika familia nyingi na hata kuleta migogoro ya hapa na pale na mara nyingine kuchangia wanandoa kupeana talaka.

Hata hivyo, kwa bahati mbaya sana tatizo hili limekuwa likichukuliwa kama ni tatizo ambalo husababisha na wanawake tu, jambo ambalo halina ukweli kwani tatizo hili huweza kuchangiwa na kinababa pia katika baadhi ya familia.

Kinababa wengi au wanaume wamekuwa ni wazito kidogo kulipokea tatizo hilo na mara nyingi wao wamekuwa ni wagumu kukubaliana na tatizo hili .

Lakini kuna sababu kadhaa ambazo huchangia mwanaume kushindwa kumpatia mwanamke mimba>>
Kwanza tatizo hili huweza kuchangiwa na matatizo yanayoathiri moja kwa moja mfumo wa uzazi wa mwanaume ikiwa ni pamoja na kuzaliwa na tatizo kwenye ogani za uzazi.

Sababu nyingine ni pale ambapo hali ya joto itaongezeka sana katika korodani pamoja na tatizo katika vinasaba vinavyohusika na masuala ya uzazi.

Matatizo hayo yote huweza kumsababishia mwanaume kuzalisha mbegu kidogo au mbegu ambazo hazina uwezo wa kuogelea vizuri au zikawa na maumbile yasiyofaa, lakini pia mwanume huweza kujikuta anashindwaa kuzalisha mbegu kabisa.

Mhusika anapoona hali hiyo hushauri mara moja kuonana na wataalam ili kupata ushauri zaidi na matibabu.Ikiwa unatatizo hilo unaweza kumtafuta Tabibu ABDALLAHA MANDAI kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment