Friday, 6 November 2015

JITIBU VIDONDA VYA TUMBO KWA KUTUMIA MCHANGANYIKO WA ASALI NA MDALASINI


Tatizo la vidonda vya tumbo husababishwa pale inapotokea mchubuko au kidonda kwenye sehemu yeyote ya ukuta wa tumbo.

Kwa kawaida tatizo hili huleta maumivu makali sana ya tumbo hasa mhusika anapokuwa amekaa na njaa kwa kipindi kirefu kidogo,

Hata hivyo, haimaanishi kwamba kila maumivu ya tumbo basi husababishwa na vidonda vya tumbo.

Vidonda vya tumbo husababishwa na aina ya vimelea vya bakteria wajulikanao kama Helicobacter Pylori.


Sasa leo nimeona ni vyema nikupatie nafasiya kumsikiliza Tabibu Abdallaha Mandai ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Mandai Herbalist Clinic ambapo anaeleza namna mchanganyiko wa mdalasini na asali jinsi unavyoweza kusaidia kwa wale wenye matatizo ya vidonda vya tumbo.

Bonyeza play hapa chini ili kumsikiliza Tabibu Mandai mwenyewe>>>>
No comments:

Post a Comment