Wednesday, 4 November 2015

KESHO NDIO SIKU RASMI YA KUAPISHWA KWA DK MAGUFULI, HAYA NDIO MAAMUZI YA RAIS KIKWETEIkiwa zimebaki saa chache kabla ya kushuhudia tukio la kuapishwa kwa Rais wa awamu ya tano atakayeongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha miaka mitano inayofuata.

Tayari imetoka taarifa  kutoka Ikulu ambapo Rais anayemaliza muda wake, Mheshimiwa Jakaya Kikwete ametangaza siku ya kesho Novemba 05, 2015 kuwa siku ya mapumziko ili kuwapa fursa Watanzania kushuhudia tukio hilo.

Nimebahatika kuipata sehemu ya taarifa hiyo iliyosambazwa na Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu, Ombeni Sefue.

No comments:

Post a Comment