Monday, 9 November 2015

KIJIKO KIMOJA CHA ASALI NI TIBA TOSHA KWAKO


Asali hufanya kazi mbalimbali mwilini ikiwa ni pamoja na kuponya maradhi, lakini pia husifika kwa kuwa na uwezo wa kuongeza damu mwilini.

Leo Jumatatu ya Novemba 09, 2015 ninazo sifa hizi kadhaa  ambazo hupatikana kutokana na matumizi ya asali.


  • Kwanza asali huweza kulainisha jipu na kuondosha usaha
  • Pili huweza kutuliza maumivu ya tumbo na kurahisisha umeng'enyaji wa chakula tumboni. Ili tumbo lako liweze kufanya kazi yake vizuri ni vyema ukajizoesha kula asali kijiko kimoja kila siku asubuhi kabla ya kula chochote
  • Husaidia sana kutibu vidonda hususani vile vya wazi.
  • Pia asali husaidia sana kwa wale wenye matatizo ya kifua na mapafu.
  • Asali inauwezo mzuri pia wa kuimarisha kinga za mwili
Kwa maelezo zaidi wasilina na Tabibu Abdallaha Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com


No comments:

Post a Comment