Friday, 13 November 2015

KUTANA NA HIZI FAIDA ZA ILIKI LEOHapa duniani Mwenyezi Mungu ametujalia vitu mbalimbali ambavyo vikitumika vizuri huweza kuwa na thamni sana katika maisha yetu ya kila siku hususani katika kujenga afya zetu pia.

Iliki ni moja ya kiungo ambacho wengi wetu tunakifahamu sana na huenda huwa tunakitumia karibu kila siku kwenye shughuli za mapishi ya jikoni husani katika kuandaa chai, lakini licha ya kwamba ni kiungo tu pia kina faida zake kwa afya.

Matumizi ya iliki husaidia sana kuipa uwezo mzuri figo wa kuondoa taka mwili ndani ya mwili, huku ikisaidia sana kuweka sawa mfumo wa umeng'enyaji chakula tumboni, kuondoa kiungulia, gesi tumboni pamoja na kuwasaidia wale wenye shida ya kukosa choo kwa muda mrefu.

Aidha, iliki imekuwa ikisifika sana kwa uwezo wake wa kusaidia kuweka sawa halufu ya kinywa, pamoja na kutibu shida ya vidonda vya mdomoni pamoja na matatizo yote ya kinywa na koo.

Pia iliki inauwezo mzuri sana wa kutibu matatizo ya maambukizi kwenye njia ya mkojo, matatizo ya figo na kibofu cha mkojo, sambamba na kupambana na magonjwa mbalimbali.

Iliki pia inauwezo wa kukabilina na hali ya mambukizi ya mafua sambamba na kikohozi, huku isifika kwa kuwa na uwezo wa kuimairsha mfumo wa mmengenyo wa chakula pamuja na kuondoa maumivu ya viungo mwilini.

Halikadhalika iliki inasifika pia kwa uwezo wake wa kutibu matatizo ya kibofu cha mkojo pamoja na matatizo ya ini pia

Mbali na hayo, iliki pia inauwezo mzuri wa kukabiliana na matatizo ya saratani, pamoja na presha.

Kama unapenda zaidi kujua mimea namna inavyoweza kutumika kama tiba basi jitahidi ufika Mandai Herbalist Clinic tupo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam au piga simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment