Wednesday, 25 November 2015

MAMBO MUHIMU YA MSINGI YATAKAYOFANYA UISHI KIAFYASiku zote kuna usemi usemao kwamba kinga ni bora kuliko tiba, hivyo kwa sasa ninayo haya machache ya kukwambia kuhusu namna ya kuepukana na baadhi ya magonjwa


  • Jambo la kwanza ili kuepuka magonjwa yasiyo yalazima ni vyema ukaepuka uvutaji wa sigara kwani huchangia sana kuharibu afya hususani katika mfumo wa hewa.  • Fanya mazoezi kila siku acha kukaa siku nzima bila kupata hata dakika thelathini za kufanya shughuli yoyote itakayokufanya angalau kutokwa na jasho japo kidogo.  • Pata muda wa kupumzika kila siku ili kujenga mwili wako na kuipa akili uwezo mpya wa kufanya kazi unapopumzika (kulala) ni sawa na kurefresh kopyuta yako, Hivyo ni muhimu kama una nafasi ukapata muda wa kulala masaa yasiyopungua nane kwa usiku.  • Kula chakula bora na chenye virutubisho vyote muhimu vyenye uwezo wa kujenga afya yako kila siku.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800, au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment