Tuesday, 24 November 2015

MATUMIZI YA MLONGE KWA MATATIZO YA UZAZI KWA WANAWAKE


Matatizo ya uzazi kwa wanawake huweza kuchangiwa na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja kuvimba kwa mirija ya uzazi ya mwanamke.

Chanzo cha tatizo hili ni pale ambapo mwanamke hukumbwa na bakteria mbalimbali sehemu za siri.

Aidha, chanzo kingine ni magonjwa ya zinaa ambayo mara nyingi yanapokaa kwenye mwili kwa muda mrefu bila kupata matibabu huweza kusababisha tatizo hili la kuvimba kwa mirija ya uzazi.

Mbali na magonjwa ya ngono pia maambukizi ya fangasi ya muda mrefu kwenye shingo ya kizazi cha mwanamke huweza kuchangia mtu kupatwa na tatizo hili.

Dalili za tatizo hili huweza kuwa ni maumivu makali chini ya kitovu, kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa,  kuhisi maumivu makali ya kiuno, maumivu wakati wa hedhi pamoja na kutokwa uchafu katika sehemu za siri za mwanamke.

Hata hivyo tunapenda ifahamike kwamba miongoni mwa mimea ambayo huweza kumsaidia mwanamke mwenye tatizo hili ni pamoja na mmea wa mlonge, hivyo kama unapenda kufahamu zaidi wasiliana sasa na Tabibu Abdallaha Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment