Thursday, 5 November 2015

PATA NAFASI YA KUZIJUA FAIDA ZA MATUMIZI YA MZAITUNI KWA AFYA YAKO


Habari za leo Novemba 05. 2015 mdau wetu karibu katika muendelezo wa kujifunza namna mimea tiba inavyoweza kuwa na manufaa katika afya zetu.

Leo ninayofuraha kukutanisha na Tabibu Abdallah Mandai ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Mandai Herbalist Clinic, ambapo atazungumzia namna mmea wa mzaituni unavyoweza kuwa suluhisho la magonjwa yako.

Pata nafasi ya kumsikiliza Tabibu Mandai hapa chini akielezea umuhimu wa mmea wa mzaituni katika tiba,>>>


3 comments:

  1. Dr. Naamini utakapoiona picha yangu utanikumbuka. Nahitaji kukuona kwa mazungumzo ya kina. Inshallah nikijaaliwa nitafika. Nakupongeza kwa kazi nzuri iliyotukuka kuwahudumia watu.

    ReplyDelete
  2. Dr. Naamini utakapoiona picha yangu utanikumbuka. Nahitaji kukuona kwa mazungumzo ya kina. Inshallah nikijaaliwa nitafika. Nakupongeza kwa kazi nzuri iliyotukuka kuwahudumia watu.

    ReplyDelete