Friday, 20 November 2015

PICHA NA VIDEO ZA KIAPO CHA WAZIRI MKUU MAPEMA LEO MJINI DODOMA

Jana Kassim Majaliwa alithibitisha na wabunge kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi wa Rais Dk John Pombe Magufuli.

Na leo Novemba 20 tayari waziri mkuu huyo ameshaapishwa mjini dodoma shughuli ambayo imefanyika kwenye ikulu ndogo mjini humo

Ninazo picha za tukio hilo hapa chini>>>>

No comments:

Post a Comment