Friday, 6 November 2015

RAIS MAGUFULI ATEMBELEA WIZARA YA FEDHA KWA KUSHTUKIZA NA KUKUTA WAFANYAKAZI HAWAPO..!! (AUDIO)


Ikiwa ni siku moja tu baada ya kuapishwa kwa Rais John Pombe Magufuli leo ameanza kazi kwa kufanya ziara ya kushtukiza kwenye ofisi za Wizara ya Fedha zilizopo maeneo ya Posta jijini Dar es Salaam.

Rais JPM amekatisha kwa mguu kutoka Ikulu mpaka Wizara wa Fedha maeneo ya Posta na kukuta ndani ya Ofisi kuna wafanyakazi ambao hawapo Ofisini na ilikuwa ni muda wa kazi.
Chanzo: ITV


No comments:

Post a Comment