Tuesday, 10 November 2015

MAAMUZI YA RAIS MAGUFULI BAADA YA KUFANYA ZIARA YA KUSHITUKIZA MUHIMBILI ( VIDEO)


Kumekuwa na ziara za ghafla ambazo zimefanywa na rais wa awamu ya tano Dk John Pombe Magufuli.

Itakumbukwa Rais Magufuli awali alifanya ziara ya kushtukiza katika Wizara ya Fedha kabla ya kufuatiwa na ziara nyingine ya ghafla aliyoifanya jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Ninayo hapa video inayomuonesha Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Yohane Sefue akizungumza kuhusu ziara hizo za rais>>>>


No comments:

Post a Comment