Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 3 November 2015

UWEZO WA MDALASINI KWA WENYE SHIDA YA KISUKARI


Mdalasini ni moja ya kiungo ambacho familia nyingi hukitumia kuongeza ladha kwenye chai

Licha ya kwamba wengi wetu tunafahamu mdalasini kama kiungo tu, lakini pia hii ni moja ya tiba ya magonjwa mbalimbali

Moja ya umuhimu wa kiungo hiki ni kuwasaidia wale wenye shida ya kisukari hususani type 2 diabetes hii ni kwa sababu husaida utemaji wa insulin mwilini ambayo husaidia kurekebisha kiwango cha sukari ndani ya mwili.

Unahitaji kutumia kiasi cha kijiko kimoja cha unga wa mdalasini kwa siku na kuchanganya kwenye maji moto au kuchanganya kwenye chai yako.

Pamoja na hayo kuna mengi sana ambayo huweza kupata ufumbuzi kupitia mdalasini ikiwa ni pamoja na kuimarisha mzunguko wa damu mwilini, kinga dhidi ya saratani pamoja na magonjwa ya moyo pia.

Kwa maelezo zaidi endelea kufuatilia tovuti hii ya www.dkmandai.com kila siku ili kupata masomo mengi zaidi kuhusu tiba au wasiliana sasa na Tabibu Abdallaha Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800.


No comments:

Post a Comment