Friday, 27 November 2015

ZIFAHAMU FAIDA ZA KULA NDIZI KWA WANAUME


Ndizi ni mojawapo ya tunda lenye ladha nzuri na limekuwa likipendwa na watu kutokana na ladha yake hiyo.

Aidha ndizi limekuwa likisifika sana kwa faida zake za kiafya, japokuwa si wengi wanazifahamu kwani wengi hulichukulia kama  tunda la kawaida tu.

Hata hivyo ni vyema ikafahamika kuwa tunda hili ni nzuri sana kwa wanaume kutokana na kuwa na uwezo mzuri wa kuboresha masuala ya uzazi kwa jinsia hiyo.

Ndizi ni nzuri sana katika kuboresha mbegu za kiume na kuongeza uwezo wa kufanya tendo hilo vizuri na kwa muda, hivyo ni vizuri kujenga utaratibu wa kula tunda hili mara kwa mara ili kupata faida zaidi.

Ndani ya ndizi kuna virutubisho muhimu kama potassium ambayo husaidia sana kuongeza kiwango cha mbegu kwa wanaume.

Pamoja na hayo ikiwa utaona unamuda mrefu kwenye ndoa n hujafanikiwa kupata mtoto ni vizuri ukafanya utaratibu wa kuwaona wataalam kwa ushauri zaidi

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na Tabibu Abdallaha Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment