Monday, 7 December 2015

HIVI NDIVYO LIMAO LINAVYOWEZA KUTUSAIDIA KATIKA MIILI YETU


Kama utakuwa ni mfuatiliaji mzuri wa tovuti hii ya www.dkmandai.com basi naamini utakuwa unafahamu kuwa wiki  iliyopita nilikupa orodha ya magonjwa mbalimbali yanayoweza kutibika kwa kutumia kitunguu swaumu.

Sasa leo hapa ninayo orodha nyingine nzuri ya matatizo yanayoweza kutatuliwa na matumizi ya limao. Karibu tuyafahamu hapa.

Kwanza kabisa limao ni moja ya tunda lenye ladha ya uchachu na mara nyingi tunda hili limekuwa likitumika zaidi katika mazingira ya jikoni hususani katika kukata shombo ya baadhi ya vyakula (mboga). hususani samaki

Orodha ya magonjwa hayo 9 ni hii ifuatayo.
1. Kikohozi.
2. Mtatizo ya tumbo.
3. Kuumwa kichwa.
4. Mafindo findo.
5. Pumu
6. Figo.
7. Ini
8. Kuzuia kunyonyoka kwa nywele.
9. Kusaidia usagaji wa chakula.


Je, ungependa kufahamu namna ya kutumia limao kama tiba? basi usipate shida wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmailcom

No comments:

Post a Comment