Friday, 4 December 2015

IPATE HII ORODHA YA MAGONJWA ZAIDI YA 20 YANAYOWEZA KUTIBIKA KWA KITUNGUU SWAUMU

Habari za leo Ijumaa ya Disemba 04, 2105 karibu sana tuendelea kuyafahamu mengine kuhusu mimea tiba leo nimeona nikuletee hii orodha  'list' ya matatizo yanayoweza kutibika kwa kutumia kitunguu swaumu.

Huondoa sumu mwilini
Husafisha tumbo
Huyeyusha mafuta mwilini (kolestro)
Husafisha njia ya mkojo
Hutibu amoeba, minyoo na Bakteria
Huondoa Gesi tumboni
Hutibu msokoto wa tumbo
Hutibu Typhoid
Huondoa mabaka mabaka kwenye ngozi
Hutibu mafua na malaria
Hutibu upele
Hutibu matatizo ya figo
Hutibu mba kichwani
Huzuia kuhara damu (Dysentery)
Huongeza nguvu za kiume
Hutibu maumivu ya kichwa
Huondoa hali ya kizunguzungu
Hutibu shinikizo la juu la damu
Huuongezea nguvu mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
Huongeza hamu ya kula
Huzuia damu kuganda
Husaidia kutibu kisukari
Huimarisha kinga ya mwili

ONYO: Mama mjamzito hatakiwi kabisa kutumia kitunguu swaumu kwani huweza kuleta madhara  kwake.

Lakini kama utahitaji kujua namna sahihi ya kukitumia kitunguu swaumu katika kujitibu na matatizo hayo hapo juu ni vyema ukawasiliana na Tabibu Abdallaha Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment