Wednesday, 2 December 2015

JIFUNZE NAMNA YA KUKABILIANA NA MAUMIVU YA KIUNO KWA NJIA ASILIA HAPA


Maumivu ya kiuno ni  miongoni mwa matatizo yanayowasumbua wanawake wengi tena mara kwa mara.

Wanawake wengi huweza kukumbwa na tatizo hili pale wanapokaribia kuingia mwezini (hedhi) au wanapokuwa tayari mwezini.

Kuumwa kiuno mara kwa mara huashiria baadhi ya matatizo hivyo unapokubwa ba hali hiyo ni vyema kuoanana nawataalam wa afya kwani maumivu ya kiuno huweza kuwa ni dalili ya kuwepo kwa matatizo kwenye via vya uzazi, kibofu cha mkojo, utumbo mkubwa au misuli ya nyonga. Maumivu yanaweza kuwa makali kiasi cha kuathiri shughuli zako za kawaida. 

Kuna sababu mbalimbali ambazo zinaweza kupelekea mwanamke kupata maumivu ya kiuno kwa muda mrefu, sababu hizi ni pamoja na maambukizi ya muda mrefu kwenye shingo ya uzazi, mimba kutunga nje ya kizazi kuwa na uvimbe kwenye kizazi pamoja na kushikana kwa via vya uzazi.

Sasa ili kukabiliana na maumivu hayo unaweza kutumia kitunguu swaumu kikawa msaada mzuri sana kwako katika kumaliza tatizo hilo. Kama utapenda kufahamu namna ya kutumia kitunguu swaumu kujitibu tatizo hilo tafadhari wasiliana na Tabibu Abdallaha Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 8000 au barua pepe dkmandaitz@gmil.com

No comments:

Post a Comment