Friday, 11 December 2015

MANAENO YA MWIGULU NCHEMBA BAADA YA KUTEULIWA KUWA WAZIRI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli tayari ameteu mawaziri wake wakusaidiana katika kuiongoza serikali yake ya awamu ya tano yenye kauli mbiu 'Hapa Kazi Tu' na kwa sasa kinachosuburiwa ni kuapishwa tu

Katika uteuzi huo miongoni mwa waliobahatika kuingia kwenye orodha ya mawaziri wateule kwenye serikali ya Rais Magufuli ni pamoja na Mwigulu Nchemba ambaye yeye amepewa Wizara ya Kilimo, Uvuvi na Mifugo.

Uteuzi huo umemfanya Mwigulu Nchemba kuyaandika haya hapa chini kupitia account yake ya  Tweeter

No comments:

Post a Comment