Thursday, 31 December 2015

MATABIBU WA TIBA ASILI WAKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA AFYA MH: KIGWANGALA LEO

Matabibu akiwemo na Tabibu Mandai mwenye shati nyeupe wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu waziri wa Afya Khamis Kigwangala  
Waganga wa tiba asili na tiba mbadala leo wamekutana wizara ya afya kwa lengo la kupata muafaka kati yao na serikali.

Taarifa zaidi kuhusu maamuzi waliyoafikiana unaweza kuendelea kuzipata kupitia tovuti hii ya www.dkmandai.com lakini hapa ninazo hizi picha mbili nilizobahatika kuzipata leo.
Baadhi ya Matabibu akiwemo Tabibu JJ. Mwaka kutoka (kushoto) Tabibu Mandai wapili kutoka kushoto Tabibu Rusigwa wa Tano kutoka kushoto na Tabibu Fadhil wa kwanza kutoka kulia picha hii wakiwa wizarani

No comments:

Post a Comment