Monday, 7 December 2015

MATATIZO YA KUWAHI KUFIKA KILELENI NA JINSI YA KUKABILIANA NAYO


Ishu ya kuwahi kufika keleleni mapema ni moja ya mambo ambayo wanaume wengi hawapendi kwani wengi hujihisi wamekuwa si rijali.

Katika mazingira kama hayo, mwanaume mwenye tatizo hilo hata kama mpenzi wake ataonekana kuitunza hiyo siri lakini bado mwanume hujihisi aibu na kujiona hafai tena yaani kwa kifupi tatizo hili huwaathiri wanaume wengi kisaikolojia sana.

Tatizo hili huweza kuondoka endapo wanandoa au wahusika wawili yaani mwanaume na mwanamke watashirikiana, lakini pia tatizo hili huweza kuondolewa kwa kuzingati ulaji wa lishe bora  na matunda.

Kuna usemi anaopenda sana kuutumia Tabibu Abdallaha Mandai kwamba chakula unachokula leo ndio afya yako ya kesho hivyo ili kujenga mwili ni lazima kuzingatia kanuni za ulaji chakula bora.

Sasa ili kukabiliana na tatizo hili ni vyema kujenga utaratibu wa kula matunda ya kutosha mara kwa mara kama matikiti maji maembe, na  ndizi lakini pia ni vyema ukajitahidi kula vyakula vyenye asili ya mizizi nazungumzia mihogo, viazi na magimbi vyote kwa pamoja huweza kuwa na msaada kwako.

Mbali na hayo,mwanamke naye huwa na nafasi nzuri ya kumsaidia baba au mwenzi waku kupambana na tatizo hili kuhakikisha anamfariji kwa maneno mazuri na yenye kumuongezea ujasiri na kuacha kuwakatisha tamaa kinababa.

Kama hili tatizo linakusumbua kwa muda mrefu sana usipate shida wasiliana na Tabibu Abdallaha Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment