Thursday, 24 December 2015

SABABU 7 ZINAZOCHANGIA TATIZO LA KUKOSA CHOO KWA WATU WENGI (CONSTIPATION)


Baadhi ya wadau wa mtandao huu na Mandai Herbalist Clinic kwa ujumla wamekuwa wakiuliza sana kuhusu tatizo la kukosa choo 'constipation'.

Hali hii huweza kujitokeza endapo utumbo mkubwa utashindwa kufanya  kazi yake vizuri na mara nyingi tatizo hili husababishwa na tabia zetu za kila siku.

Sasa leo hapa ninayo orodha ya sababu ambazo huweza kupelekea mhuskia kukumbwa na tatizo hili la kukosa choo karibu tuzifahamu wote hapa kwa pamoja.

1. Kula vyakula vilivyokobolewa.
2. Kula vyakula vilivyokaangwa.
3. Kutokunywa maji ya kutosha.
4. Kutokuwa na muda maalum wa kula.
5. Matumizi ya dawa kiholela.
6. Kutokuwa na mazoezi ya kutosha.
7. Ulaji wa nyama kupita kiasi.

Kwa mengine mengi zaidi endelea kuwa nasi kila siku au wasiliana na Tabibu Abdallaha Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkamandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment