Thursday, 24 December 2015

SALAM ZA SIKUKUU YA MAULID KUTOKA KWA TABIBU MANDAI

Mkurugenzi Mtendaji wa Mandai Herbalist Clinic Tabibu Abdallaha Mandai

Uongozi mzima wa Mandai Herbalist Clinic ukiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji Tabibu Abdallaha Mandai unapenda kuwatakia kheri ya sikukuu ya Maulid waumini wote wa dini ya kiislam nchini.

Tabibu Mandai anapenda kuwataka waislam wote na Watanzania kwa ujumla kusheherekea sikukuu hii kwa utulivu na amani pamoja na kuendelea kuzingatia kanuni na taratibu zote za dini ya kiislam.

No comments:

Post a Comment