Saturday, 26 December 2015

TABIBU JJ. MWAKA ATEMBELEA MANDAI HERBALIST CLINIC NA KUZUNGUMZA NA TABIBU MANDAI LEO PICHA ZOTE ZIPO HAPA

Tabibu Abdallaha Mandai (kulia) akiwa na Tabibu JJ. Mwaka nje ya jengo la Mandai Herbalist Clinic
Leo Disemba 26/2015 Tabibu J.J Mwaka kutoka kituo cha Foreplan Clinic ametembelea kituo cha Mandai Herbalist Clinic kilichopo jijini Dar es Salaam maeneo ya Gongolamboto, Mongolandege na kukutana na Tabibu Abdallaha Mandai na kubadilishana mawazo mawili matatu kuhusu taaluma yao ya tiba asili na mwenendo mzima wa taaluma hiyo kwa sasa.

Hapa chini ninazo picha za Tabibu Abdallaha Mandai na Tabibu Mwaka unaweza kuzitazama>> 
Tabibu JJ. Mwaka (kushoto)  akizungumza na Tabibu Mandai nje ya jengo la Mandai Herbalist Clinic
Tabibu Mandai (kulia) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Tabibu Mwaka nje ya jengo la Clinic yake Mandai Herbalist Clinic iliyopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam
Tabibu JJ. Mwaka (kushoto)  akizungumza na Tabibu Mandai nje ya jengo la Mandai Herbalist Clinic

No comments:

Post a Comment