Wednesday, 9 December 2015

TAZAMA PICHA JINSI MANDAI HERBALIST CLINIC ILIVYOADHIMISHA SIKU YA UHURU KWA KUFANYA USAFI MAPEMA LEO

Tabibu Abdallaha Mandai (katikati) akishiriki kufagia mazingira ya karibu na ilipo Mandai Herbalist Clinic
Tabibu Abdallaha Mandai (kulia) akisaidiana na vijana kwenda kumwaga taka


Meneja wa Mandai Herbalist Clinic Methodia Daudi akifagia maeneo yanayozunguka Clinic

Maji pia yalimwagwa ili kuondoa vumbi lote mbele ya Mandai Herbalist Clinic


Deki nayo ilipigwa siku hii ya uhuru & usafi day
Baada ya usafi kukamilika mazingira yalikuwa yakioneka hivi ni safi kabisa


Maji yalimwagwa ya kutosha kuhakikisha vumbi lote linakwisha

No comments:

Post a Comment