Wednesday, 9 December 2015

TAZAMA RAIS MAGUFULI JINSI ALIVYOSHIRIKI KUFANYA USAFI LEO UHURU DAY


Kwa kawaida siku kama ya leo 09/12/2015 miaka kadhaa nyuma huwa ni siku ya mapumziko kama, lakini mwaka huu  serikali ya awamu ya tano ya Mhe John Pombe Magufuli aliamuru kutokuwa kwa gwaride na badala yake Watanzania wote walitakiwa kufanya usafi wa mazingira kuanzia asubuhi hadi saa 7 mchana. “

Utekelezaji wa agizo hili ulitakiwa kumuhusiha kila Mtanzania bila kujali itikadi za kiimani au kisiasa hivyo leo miongoni mwa watanzania walioshiriki zoezi hilo na kuliongoza ni pamoja na Mheshimiwa Rais Dk John Pombe Magufuli ambaye alifanya usafi wa mazingira yanayozunguka Ikulu (kama anavyoonekana pichani hapo juu akizoa taka)


No comments:

Post a Comment