Hapa ni Tabibu Mandai (kulia) akiwa na Dk Manyaunyau wakiangalia dawa ndani ya chumba cha dawa Mandai Herbalist Clinic |
Tabibu Abdallaha Mandai akiwa ofisini kwake na Dk Manyaunyau alipofika kliniki hapo jana Januari 08/2016 |
Tabibu Mandai akiwa na Dk Manyaunyau ndani ya chumba cha dawa Mandai Herbalist Clinic |
Dk Manyaunyau akitazama baadhi ya product zinazopatikana ndani ya Mandai Herbalist Clinic. |
Dk Manyaunyau akiwa ndani ya chumba cha madawa Mandai Herbalist Clinic |
No comments:
Post a Comment