Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 2 January 2016

FAHAMU HAYA MATATIZO YANAYOWEZA KUTIBIKA KWA ASALI


Habari za Jumamosi ya kwanza ya mwaka 2016 naamini msomaji wangu utakuwa upo vizuri napenda kukukaribisha kwa pamoja tuweze kuzifahamu hizi faida za asali katika matibabu.

Asali hufanya kazi mbalimbali mwilini ikiwa ni pamoja na kuponya maradhi, lakini pia husifika kwa kuwa na uwezo wa kuongeza damu mwilini.

Leo Januari 2, 2016 ninazo sifa hizi kadhaa ambazo hupatikana kutokana na matumizi ya asali.
1. Kwanza asali huweza kulainisha jipu na kuondosha usaha
2. Pili huweza kutuliza maumivu ya tumbo na kurahisisha umeng'enyaji wa chakula tumboni. Ili tumbo lako liweze kufanya kazi yake vizuri ni vyema ukajizoesha kula asali kijiko kimoja kila siku asubuhi kabla ya kula chochote
3. Husaidia sana kutibu vidonda hususani vile vya wazi na majeraha yatokanayo na moto
4. Pia asali husaidia sana kwa wale wenye matatizo ya kifua na mapafu.
5. Asali inauwezo mzuri pia wa kuimarisha kinga za mwili

Kwa maelezo zaidi wasilina na Tabibu Abdallaha Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment