Unapofika ndani ya chumba cha dawa Mandai Herbalist Clinic utakutana na wahudumu wakarimu na watakupatia maelekezo mazuri namna ya kutumia dawa. |
Mhudumu kutoka chumba cha dawa Mandai Herbalist Clinic akiwa tayari kuanza kutoa huduma |
Chumba cha dawa Mandai Herbalist Clinic |
Mhudumu akiandaa dawa kwa ajili ya kumkabidhi mmoja wa wagonjwa aliyefika chumba cha dawa cha Mandai Herbalist Clinic kupata dawa zake. |
Mgonjwa akisoma maelekezo yanayopatikana kwenye dawa ndani ya chumba cha dawa Mandai Herbalist Clinic |
Ukifika ndani ya chumba cha dawa cha Mandai Herbalist Clinic utakutana na dawa nyingi za matatizo mbalimbali |
No comments:
Post a Comment