Friday, 1 January 2016

RAIS MAGUFULI NA MAMA JANETH MAGUFULI WAMTEMBELEA KARDINALI PENGO HOSPITALINIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli leo Januari 1, 2016 wamefika katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam kwa lengo la kumjulia hali Askofu Mkuu wa Jimbo la Katoliki Kardinali Pengo.

Kardinali Pengo alilazwa hospitalini hapo jana jioni kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa afya yake.

No comments:

Post a Comment