Wednesday, 17 February 2016

KAMA UNASUMBULIWA NA MIWASHO YA MARA KWA MARA TIBA IPO HAPA


Kuwashwa sehemu yoyote ya mwili inaweza kuwa ni matokeo ya tatizo fulani lililoko mwilini,kama vile mzio (allergy) minyoo.

Kwahiyo mwili unapowasha kunaweza kuwa ni dalili za ugonjwa unaohitaji kuchunguzwa na kutibiwa badala ya kutafuta kutibu dalili za ugonjwa.

Pamoja na hayo, kuna baadhi ya tiba za kukabiliana na tatizo hilo, ambazo ni pamoja na soya, ndimu, komamanga , unga wa ngano pamoja na majani ya ngano, lakini katika tiba zote hizo leo hii tutaelezea hii tiba ya kutumia unga wa ngano ambayo pengine inaweza kuwa ni rahisi kwa wengi.

Unachopaswa kufanya katika kutumia unga wa ngano kama tiba ni kupaka unga wa ngano sehemu zote za mwili zinazowasha na hakikisha unatumia tiba hii kwa muda wa siku 10.

Hata hivyo, majani ya muarobaini nayo yamekuwa yakisifika sana kwa matibabu ya ngozi ikiwamo suala la muwasho wa ngozi hivyo unaweza kutumia pia.

Iwapo bado tatizo linaendelea baada ya kutumia tiba hizo basi jaribu tiba ya aina nyingine. Au fika Mandai Hebalist Clinic, Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.


Endapo unasumbuliwa na magonjwa sugu basi wasiliana na Mandai Herbalist Clinic kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com.

No comments:

Post a Comment