Wednesday, 17 February 2016

KAMA UNATESEKA NA MAUMIVU YA VIUNGO NA KIUNO SOMA HAPA UJUE NAMNA YA KUMALIZA TATIZO HILO

MAUMIVU ya kiuno ni moja ya tatizo ambalo huwasumbua watu wengi hususani wanawake wao ndio hukubwa zaidi na tatizo hili.

Tatizo hili huweza kuchangiwa na mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na shughuli za kila siku, lakini pia baadhi ya wanawake hukubwa na tatizo hili pale wanapoingia kwenye siku zao.

Hata hivyo, kuna baadhi ya viuongo asili huweza kukabiliana na tatizo hilo ikiwa ni pamoja na kitunguu swaumu ambacho ukitumia kuchua sehemu yenye maumivu humaliza tatizo hilo.

Pia unapofika Mandai Herbalist Clinic iliyopo Ukonga, Mombasa, Mongolandege unaweza kupata dawa iitwayo Madondo Plus ambayo ni dawa asili iliyotengenezwa kwa mchanganyiko maalum na inapatikana kutoka Mandai Herbalist Clinic pekee.

Dawa hii ya asili inauwezo wa kutibu na kuondoa maumivu mwilini, ganzi ya miguu na maumivu ya miguu pamoja na miguu kuwaka moto.
Dawa ya Madondo Plus
Matatizo mengine ambayo huweza kutatuliwa na dawa hii na kuondoa kelele mwilini pamoja na matatizo ya mgongo na kifua

Pia madondo ina uwezo wa kuongeza madini ya calcium kwa asilimia mia moja ambayo madini hayo ni muhimu sana mwilini

Mbali na hayo dawa hii pia huwasaidia watoto wenye tatizo la ulegevu wa viungo na kuwafanya kuwa na viungo imara na vyenye afya tele.

Endapo unasumbuliwa na matatizo yalio tajwa hapo juu unaweza kuwasiliana na Tabibu Abdallah Mandai kwa simu namba: 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800. Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com. Tupo Ukonga, Mombasa eneo la Mongolandege jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment