Thursday, 10 March 2016

HUU NDIO UBORA WA PILIPILI HOHO

Pilipili hoho inatajwa kuwa ni moja ya mboga yenye vitamin nyingi, ingawaje wengi wetu huwa utufahamu.

Aidha, pili pili hoho inaelezwa kuwa na ladha ya kipekee, yenye uwezo mkubwa ya kuboresha mifumo mbalimbali mwilini.

Pilipili hoho inauwezo mkubwa wa kuongeza kinga ya mwili pamoja na kupambana na maradhi ya saratani, moyo huku pia ikisaidia uwezo wa macho kuona vizuri.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.comNo comments:

Post a Comment