Monday, 11 April 2016

Dalili za magonjwa ya zinaa kwa wanawake


Habari za leo mdau wa www.dkmandai.com, leo nimeona ni vizuri tufahamishane kuhusu dalili za magonjwa yanayoene kwa njia ya ngono

Kwa kuanza kwa sasa tutaanza na dalili ambazo hujitokeza kwa wanawake mara wanapopatwa na maambukizi haya:

Dalili za magonjwa ya ngono kwa wanawake / wasichana ni pamoja na:

- Kutokwa na ute usio wa kawaida ndani ya uke

- Maumivu ya chini ya tumbo.

- Kuhisi maumivu makali wakati wa kupata haja ndogo  (mkojo.)

- Maumivu wakati wa kufanya kujamiana

- Kutoka damu ukeni isiyo ya kawaida

- Kuwashwa sehemu za siri

- Kupata uvimbe usio wa kawaida ukeni au katika sehemu za siri

- Jeraha, kidonda katika sehemu za siri

- Vipele, ikiwa ni pamoja vipele katika kiganja cha mkono na nyayo za miguu.


Kama utakuwa umeona dalili kama hizo basi ni vizuri ukawasiliana na Tabibu Abdallaha Mandai ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Mandai Herbalist Clinic na utapata ushauri mzuri kutoka kwake mpigie simu sasa kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment