Friday, 8 April 2016

Je, wewe ni mpenzi wa kutumia vitu halisi kama tiba?

KAMA wewe ni miongoni mwa wale wanaopenda kutumia vitu halisi kama vile mimea, matunda nafaka kama tiba basi usipate shida unachopaswa kufanya ni kuhakikisha kila siku ya Ijumaa unanunua gazeti la TAMBUA kwa Sh 500/= tu na utapata makala nzuri na za kina zilizoandikwa na TabibuAbdallaha Mandai kuhusu mimea tiba pamoja na matunda.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment