Friday, 1 April 2016

Usikose makala za afya kutoka kwa Tabibu Mandai

Tabibu Mandai ni mtaalam wa kutibu magonjwa mbalimbali kwa kutumia mimea tiba, kupitia Clinic yake inayofahamika kwa jina la Mandai Herbalist Clinic iliyopo Ukonga, Mombasa eneo la Mongolandege jijini Dar es Salaam.

Tabibu Mandai amekuwa akitoa makala zake kupitia Gazeti la TAMBUA linalotoka kila siku ya Ijumaa kila wiki na linapatikana kwa shilingi 500/= tu

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana naye kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au Barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

No comments:

Post a Comment