Saturday, 14 May 2016

Mzizi wa mgomba unaweza kutoa ahueni kwa tatizo la muwasho sehemu za siri

TATIZO la kuwa na muwasho sehemu za siri ni moja ya tatizo ambalo huwakabili watu mbalimbali hususani vijana wa kike na kiume.

Tatizo hili huchagiwa sana na fangasi aina ya ‘Candida’ na kuwatesa pia, lakini kuna baadhi ya vitu asili vinapotumika huweza kuwa tiba nzuri ya tatizo hili.

Moja ya tiba nzuri ya tatizo hili la muwasho sehemu za siri ni pamoja na kiazi cha mgomba. Tunapozungumzia kiazi cha mgomba hiki ni kile ambacho hupaitikana katika mizizi ya mgomba.

Unachotakiwa kufanya nikuchimba kiazi cha mgomba, kisha kioshe vizuri na kukikata katika vipande vidogo vidogo.

Kama utahitaji kufahamu hatua ya mwisho ya ukamilifu wa njia hii ya kutatua tatizo la muwasho sehemu za siri unaweza kuwasiliana na Tabibu Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment