Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 25 June 2016

Fahamu faida ya maua ya boga

Maua ya boga hutokana na mboga za maboga na maua hayo hutokea pindi mmea huo unapoelekea kuzaa maboga.

Pamoja na maua hayo ya maboga kutumika kama mboga, pia maua hayo huweza kutumika kama sehemu msaada wa kutoa ahueni hususani kwa wale wenye tatizo la mtoto wa jicho.

Maradhi ambayo hutokana na sababu za kurithi hii huchangiwa na hitilafu katika utengenezwaji wa chembe hai zinazohusika na kuiunda lensi ya jicho.

Madhara makubwa yanayotokea kwenye maradhi haya ni usambazaji mbovu wa mwanga huu wa taswira unapofika kwenye lensi

Hii husababishwa na kutokuwa na unyoofu wa mazingira katika ukuta wa lensi uliotokana na kujeruhiwa kwa chembe hai zake zinazoundwa.

Mtu mwenye tatizo hili huweza kupata shida hii kwenye jicho moja tu, lakini kwa waliowengi hupata kwenye macho yote mawili yote.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba +225 716 300 200/+225 784 300 300/+225 769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com


No comments:

Post a Comment