Thursday, 23 June 2016

Fahamu miujiza ya kitunguu swaumu


Kitungu swaumu ni miongoni mwa viungo vinavyotegemewa katika kuongenza ladha nzuri kwenye vyakula mbalimbali.

Ugonjwa wa kifua huchangiwa na mifereji inayoingiza hewa katika mapafu inapopata maambukizi na kusababisha mgonjwa kukohoa kikohozi chenye sauti mara kwa mara, huku kikiambatana na makohozi mazito.

Kitunguu swaumu pia husaidia kutoa ahueni kwa wenye matatizo ya ngozi hususan yenye vilenge lenge ambapo dalili zake ni madoa meupe yenye magamba huchunika  kama ngozi iliyoungua mikononi, miguuni, shingoni au usoni.

Hivyo matatizo yote hayo huweza kufanyiwa suluhisho kwa kutumia kitunguu swaumu.

Matumizi ya kitunguu swaumu ni msaada pia kwa watu wenye matatizo ya kukosa choo kwa muda wa siku mbili au zaidi anaweza kupata nafuu kwa kutumia kiungo hiki.

Aidha, kiungo hiki pia kinasaidia kupunguza shida ya kubanwa na pumu au kushindwa kupumua, lakini pia kitunguu swaumu husaidia majeraha yatokanayo na kuumwa na wadudu kama ng'e ambapo ili utumie kiungo hiki kama tiba

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Tabibu Abdallaha Mandai kwa simu namba +225 716 300 200/+225 784 300 300/+225 769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com


No comments:

Post a Comment