Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 25 June 2016

Fahamu siri ya kunywa kahawa mwilini


Kahawa  ni moja ya kinywaji ambacho kimekuwa kikipendwa sana na watu mbalimbali nchini hususani wazee.
 
Karibu maeneo mengi utakutana na vijiwe hivi vya kahawa, huku watu wakiendelea kunywa na kubadilishana mawazo ya hapa na pale inaweza kuwa kuhusu siasa, michezo na hata masuala ya uhusiano pia.
 
Mara nyingi wanywaji wakubwa wa kinywaji hiki ni wanaume kuliko wanawake.
 
Miongoni mwa faida za kinywaji hiki ni pamoja na kumchangamsha mhusika na kumfanya kujihisi vizuri.
 
Kwa mujibu wa jarida la afya ya mifumo ya mishipa ya fahamu la uingereza lilichapisha ripoti kuhusu kinywaji hicho na kueleza kuwa hupunguza hatari ya kupata magonjwa ya mfumo wa fahamu kwa wazee.

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba +255716 300 200/+255 784 300 300/+255 769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment