Thursday, 16 June 2016

Fahamu umuhimu wa karoti ndani ya mwili

Karoti pamoja na kuwa na faida nyingi mwilini ikiwa utakula walau karoti si chini ya sita kwa wiki au unaweza kufanya karoti moja kwa siku. Iwe unakula kwa kuzichemsha, kuzila mbichi, kuweka kwenye salad, kutengeneza juice na ‘smoothie’ supu nk.

Karoti pia inasifika kwa kuimarisha afya ya ngozi kutokana na kuwa na Vitamin A kwa wingi ambayo husaidia kujenga afya ya mwili.

Pia kiungo hiki husaidia kuondoa sumu na taka mwilini, inaondoa mafuta yasiyotakiwa katika ini na kuliwezesha lifanye kazi vizuri, kusafisha njia ya haja kubwa na kusaidia kupata choo vizuri.

Karoti zinasaidia kufanya fizi na meno kuwa imara na kuchochea uzalishwaji wa mate.

 Pia inasaidia kuzuia ‘stroke’  watu wanao kula karoti walau sita kwa siku wana uwezekano mdogo wa kupata ‘stroke’ Pia

 Karibu Mandai Herbal Clinic, tupo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam au wasiliana nasi kwa mawasiliano yafuatayo 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment