Tuesday, 21 June 2016

Fahamu umuhimu wa pilipili

Wengi tunafahamu pilipili na baadhi wanaitumia pia katika kuongeza  hamu ya kula chakula au ladha zaidi.

Huenda ulikuwa hujui kwamba matumizi ya pilipili nayo yanafaida zake ndani ya  mwili .
Umuhimu wa vitamin C ambavyo hupatikana kwenye pilipili humfanya  mlaji awe imara na ndiyo maana walaji pilipili wengi siyo waoga ni watu wenye kujiamini.

Utafiti uliowahi kufanywa nchini Marekani na Chama cha Watafiti wa Ugonjwa wa Saratani, uligundua kuwa upo uwezekano wa pilipili kuua na kutokomeza viini vya saratani ya uzazi na mapafu, endapo italiwa chini ya usimamizi na maelekezo ya 
wataalam wa afya.

Pamoja na hayo, pilipili husaidia sana kukabiliana na matatizo maumivu ya viungo, kutibu magonjwa ya fizi.

Karibu Mandai Herbal Clinic, tunapatikana Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam au wasiliana nasi kwa mawasiliano yafuatayo: 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com


No comments:

Post a Comment