Thursday, 16 June 2016

Hii ndiyo siri ya nazi kwenye afya ya ngozi yako


Nazi ni maarufu katika dunia kwa matumizi mbalimbali hususani katika mapishi ambapo hutumika kama kiungo, lakini nazi huweza kuwa na faida kubwa ukiitumia vizuri .

Miongoni mwa faida hzio ni pamoja na kulainisha ngozi. Nazi inakirutubisho  ambacho huitwa 'Saturated Fats' hii ni asili ambayo inapatikana kwenye nazi ambayo humpatia mtumiaji kuwa na ngozi nzuri.

Matumizi ya nazi pia huimarisha afya ya ngozi kutokana na kuwa na Vitamin E ambayo  husaidia ngozi kuwa na ubora na kujisafisha kutokana na uchafu wa ngozi, hivyo  kufanya ngozi kuwa laini na kuilinda dhidi ya mipasuko.

 Ikiwa utapenda kufahamu zaidi namna ya kutumia nazi katika kuimarisha ngozi yako unaweza kutembelea Mandai Herbalist Clinic iliyopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam au wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com.


No comments:

Post a Comment