Thursday, 23 June 2016

Juwa maajabu ya stafeli kiafya

Stafeli ni tunda ambalo hupatikana zaidi katika mikoa ya Tanga, Iringa, Mbeya, Morogoro na baadhi ya maeneo katika jiji la Dar es Salaam.

Wanawake wenye matatizo ya kutokwa na maji yenye muwasho au yenye asili kama maziwa mtindi sehemu zao za siri wanaweza wakapata  ahueni kwa kutumia mti huo wa mstafeli

Mara nyingi wanawake hukumbwa na matatizo hayo mara kwa mara kutokana na maumbile yao magonjwa hayo yamekuwa  ni changamoto kwa wanawake na kuchangia athari mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuhisi maumivu makali wakati wa tendo la ndoa na wakati mwingine huweza kusababisha hata matatizo ya uzazi pia ikiwa hayatapata tiba sahihi kwa haraka zaidi.

Si hayo pekee ambayo huweza kutoa ahueni na mti huu wa mstafeli bali hata matatizo ya vidonda vya tumbo nayo huweza kutibiwa kwa kutumia majani ya mti wa mstafeli.

Magome ya mti wa mstafeli nayo hutumika kama njia ya kupunguza matatizo ya uvimbe au vidonda 

Hayo ni machache kuhusu bamia kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba +225 716 300 200/+225 784 300 300/+225 769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com


1 comment: