Saturday, 18 June 2016

Kuna faida kubwa ya kula nanasi kiafya

Leo tunazungumzi faida ya nanasi na  ni  tunda  lenye  ladha  nzuri., mbali  na  kutumika  kama  tunda  ama  juisi  yake  kutumika  kama  kinywaji,   lina  faida  mbalimbali  kwa  afya  ya  mwanadamu lina

Miongoni mwa virutubisho vinavyopatikana ndani ya tunda hili ni pamoja na vitamini A,B na C pia ina madini ya chuma, ‘calcium’, ‘copper’  na ‘phosphorous’ ambayo  yote  ni  muhimu   katika  afya  ya  mwanadamu.
            Ulaji wa nanasi au juisi yake husaidia  kuimarisha mifupa , meno, neva na misuli ‘muscles' .   
           
            Tunda hili pia husaidia kutibu vidonda mdomoni na kutibu magonjwa ya koo, lakini pia husaidia kuboresha  uwezo wa kukumbuka mambo.

Fika  Mandai Herbal Clinic, tupo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam au wasiliana nasi kwa mawasiliano yafuatayo 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com


No comments:

Post a Comment