Wednesday, 22 June 2016

Kuna faida kula bamia kimwili


Bamia ni mboga ambayo inafahamika kwa wengi katika jamii kutokana na ladha yake nzuri inapotumika kama mboga katika baadhi ya milo. Mfano ugali.

Bamia husaidia kulainisha utumbo mkubwa ‘large intestines’ kutokana na kazi yake ya kulainisha choo pia hutumika kwa kusaidia  vidonda vya tumbo.

Ndani ya bamia kuna aina mbalimbali za madini pamoja na vitamin ikiwa ni pamoja na vitamin A, B, C na K, mbali na virutubisho hivyo pia ndani ya bamia kuna madini ya  'copper', 'magnesium', 'potassium' na 'manganese '
 
Mbali na hayo, bamia pia inasaidia kutoa ahueni kwa  magonjwa  mbalimbali  ya  zinaa  kama vile  kaswende na kisonono, huku ikisaidia pia  tatizo  la  kwenda  hedhi  mara  kwa  mara na  chango kwa wanawake.

Hayo ni machache kuhusu bamia kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment