Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 18 June 2016

Tambua faida za dagaa kimwili


Jamii ya Watanzania  wengi imekuwa ikiamini kuwa ulaji wa dagaa ni ishara ya hali duni ya kimaisha, kutokana na hali hiyo baadhi ya watu wamekuwa na hofu au aibu kununua dagaa sokoni.

Hata hivyo, kimsingi  kitoweo hicho kinaumuhimu wake kiafya ambao kama utatambua faida zake basi utafahamu kuwa ni moja ya kitoweo ambacho kinaweza kuliwa na watu wa hali zote yaani matajiri na masikini.

Aidha, dagaa pia ni chanzo kizuri cha Vitamin B12, ikiwa ni chanzo kizuri cha pili baada ya maini vitamin hii hufanyakazi kubwa ya kuboresha afya ya moyo na hivyo kuwa chakula kizuri cha kumpa ahueni au kinga madhubuti mlaji dhidi ya magonjwa ya moyo.

Pia kitoweo hiki husaidia kuimarisha afya ya mifupa kutokana na kuwa na madini ya ‘calcium’.Karibu Mandai Herbal Clinic, tunapatikana Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam au wasiliana nasi kwa mawasiliano yafuatayo: 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment