Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 23 June 2016

Tumia maziwa ya mtindi kwa afya yako

 
Mara nyingi tumekuwa tukisikia baadhi ya watu wetu wa karibu au sisi wenyewe tukilalamika kusumbuliwa na tumbo lisilo la vidonda wala ugonjwa wowote ila utasikia mtu anakwambia tumbo linanikata, huenda akawa anavurugikwa na tumbo.

Hakikisha unapotumia maziwa hayo epuka yenye sukari nyingi ikiwezekana jaribu kunywa bila sukari pia.

Aidha, kinywaji hiki husaidia  mambo mengi kwani mbali na tumbo pia husaidia kuondoa msongo wa mawazo na kuweka sawa akili.

Pamoja na hayo, ni vyema kuwaona wataalam wa afya zaidi endapo utaona hali ya maumivu imekuwa ikiongezeka zaidi ili uweze kuchunguzwa na kujua nini chanzo cha maumivu hayo zaidi. 

Unaweza kuwasiliana na Tabibu Abdallah Mandai kwa ushauri zaidi juu ya mpangilio wa mlo wako piga simu namba +225 716 300 200/+225 784 300 300/+225 769 400 800 au Barua pepe dkmandaitz@gmail.coma


No comments:

Post a Comment