Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 17 June 2016

Vyakula muhimu kwa mama mjamzito

Afya ya mama na mtoto ni muhimu sana, hivyo kuna kila sababu ya  mwanamke kupata chakula bora kwani kukosekana kwa chakula bora kunaweza kuchangia mtoto kuzaliwa kabla ya mda wake au na uzito mdogo ambao unaweza ukachangia katika kuzuia ukuaji wa ubongo na mwili. 

Kwa mama anaweza akapata anemia ‘infection’ matatizo katika ‘placenta’ matatizo katika (kuzaa kwa upalesheni wakati wa kujifungua), kutokupona kwa haraka, matatizo katika kunyonyesha.

Mama mjamzito anatakiwa apate 100 grams za protein kwa siku kabla hajapata  mlo kamili anaotakiwa apate mama mjamzito kila siku ya ujauzito wake kwa afya bora

Anaitajika apate  vyakula vya jamii ya maziwa aina yoyote pamoja na siagi,Maziwa ni muhimu kwa protein, calcium, vitamins na virutubisho vingi. vitasaidia ukuaji wa mifupa kwa mtoto na ni muhimu kwa mtoto kwa ajili ya afya yake

Mayai mawili kwa siku husaidia kuupa mwili protin na  vitamin A ambayo inasaidia kuzuia maambukizi pia.

Kwa maelezo zaidi na ushauri wasiliana na  Tabibu Abdallaha Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com


No comments:

Post a Comment