Tuesday, 28 June 2016

Zifahamu faida za Epo kiafya


 
Leo tunazungumzia faida ya epo  katika miili yetu, ni wazi kwamba tunda hili wengi wetu tumekuwa tukilitumia sana lakini hatufahamu umuhimu wake ndani ya miili yetu.

Mawe kwenye figo siyo tatizo geni miongoni mwa watu hivi sasa, hasa wenye umri mkubwa.

Hata hivyo, katika siku za hivi karibuni, ukubwa wa tatizo hili umeongezeka, kwani hata vijana wanapatwa na tatizo hili ambalo kitalaam linajulikana kama ‘Gallstones’.

Tunapozungumzia tatizo la mawe kwenye figo siyo mawe halisi, bali huwa ni vitu vinavyojitengeneza kwenye figo taratibu na baada ya muda mrefu hugeuka umbo na kuwa mfano wa vijiwe vidogo vidogo hii hutokana na ulaji wa vyakula usio sahihi.

Mara nyingi tatizo hili hutibika kwa njia ya upasuaji na kuvitoa, huku zoezi hilo likigharimu fedha nyingi na pia husababisha maumivu wakati wa kufanya oparesheni hiyo.

Lakini kwa kutumia tiba mbadala ya vyakula, pia huweza kukusaidia kuondokana na tatizo hilo.

Kama utapenda kufahamu mengi zaidi usisite kuwasiliana na Tabibu Abdallah Mandai kwa simu namba +255 716 300 200/+255 0769 400 800/+255 784 300 300.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.comNo comments:

Post a Comment